
Ujumbe wa habari, ujumbe wa SIM, na
amri za huduma
Ujumbe wa taarifa
Unaweza kupokea taarifa juu ya miada
mbali mbali kutoka kwa mtoa huduma
Ifanye iwe simu yako 17

wako (huduma ya mtandao) Kwa taarifa
zaidi, wasiliana na mtoa huduma wako.
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Taarifa za uju'be
na kutoka kwenye
chaguzi zilizopo.
Amri za huduma
Amri za huduma zinakuruhusu kuandika
na kutuma maombi ya huduma (amri za
USSD) kwa mtoa huduma wako kama amri
za kuwasha huduma za mtandao.
Kuandika na kutuma ombi la huduma,
chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Amri za huduma
. Kwa maelezo kamili,
wasiliana na mtoa huduma wako.
Ujumbe wa SIM
Ujumbe wa SIM ni ujumbe mahususi wa
maandishi ambao huhifadhiwa kwenye
SIM kadi yako. Unaweza kunakili au
kuhamisha ujumbe huo kutoka kwenye
SIM kwenda kwenye kumbukumbu ya
simu, lakini siyo kinyume chake.
Kusoma ujumbe wa SIM, chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Chaguzi
>
Ujumbe wa SIM
.