
Usanidi
Unaweza kusanifu simu yako na
mipangilio inayohitajika kwa huduma
fulani . Unaweza kupokea mipangilio hii
kama ujumbe wa usanidi kutoka kwa
mtoa huduma wako.
Angalia Huduma ya
mpangilio wa usanidi uk. 39.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Upangiaji
na kutoka ifuatayo:
Mip. mbad. upangiaji — Kuangalia
watoa huduma waliyohifadhiwa kwenye
simu na kuweka mtoa huduma-msingi.
Anzi. mba. prog. zote — ili kuamilisha
mipangilio ya usanidi-msingi ya
programu tumizi zinazokubaliwa
Pt kui. inayopend'wa — ili kuangalia
sehemu ya kufikia iliyohifadhiwa.
Unga. kwen. msaada — ili kupakua
mipangilio ya usanidi kutoka kwa mtoa
huduma wako.
Mipa. kidhibiti vifaa — ili kuruhusu au
kuzuia simu kupokea visasisha programu.
Chaguo hili laweza kukosa kutegemeana
na simu yako.
Angalia Programu ya kifaa
usasisha angani uk. 39.
Mip. upangi'ji binafsi — ili wewe
mwenyewe kuongeza akaunti mpya za
kibinafsi kwa huduma mbalimbali na
kuziamilisha au kuzifuta. Kuongeza
akaunti mpya ya kibinafsi, chagua
Ongeza
, au
Chaguzi
>
Ongeza mpya
.
Chagua aina ya huduma na andika mipaka
inayohitajika. Kuwasha akaunti ya
kibinafsi, viringika kwake, na uchague
Chaguzi
>
Anzisha
.
Unataka kuongea, kupiga
soga au kutuma ujumbe?
Kupiga simu na kutuma
ujumbe ndio kiini cha simu'.