Kebo ya data ya USB
Unaweza kutumia kebo ya data ya USB
kuhamisha data kati ya simu na PC
inaolingana au printa iliyo na uwezo wa
kuungana na PictBridge.
16 Ifanye iwe simu yako
Kuwasha simu kwa nia ya kuhamisha data
au kuchapisha taswira, unganisha kebo ya
data na chagua hali:
PC Suite — kutumia kebo kwa Nokia PC
Suite
Uchapaji & media — Kutumia simu na
printa iliyo na uwezo wa kuungana na
PictBridge au na PC inaolingana.
Kuhifadhi data — kuunganisha
Kompyuta isiyo na programu ya Nokia na
kutumia simu kama hifadhi ya data
Kubadilisha modi ya USB, chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uunganikaji
>
Kebo ya USB ya data
na modi ya USB
unayotaka.