Pakiti ya data
Huduma ya kiujumla ya pakiti ya redio
(GPRS) ni huduma ya mtandao ambayo
huruhusu simu za mkononi kutuma na
kupokea data kupitia mtandao
unaotumia itifaki ya Tovuti (IP).
Ili kufafanua vile unavyoweza kutumia
huduma hii, chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uunganikaji
>
Data ya
pakiti
>
Ungan. data ya pakiti
na
mojawapo ya chaguzi zifwatazo:
Wakati ikihitajika — Kupangia
unganisho wa paketi ya data uundwe
ukitakiwa na kifuasi. Unganisho itakatwa
programu ikizimwa
Mtandao daima — Kuunganisha
yenyewe kwa mtandao wa pakiti ya data
wakati unapowasha simu
Unaweza kutumia simu yako kama
modemu kwa kuinganisha na kompyuta
inayopatana kwa kutumia teknolojia ya
angani ya Bluetooth au kebo ya data ya
USB. Kwa habari ya kina, soma nyaraka za
Nokia PC Suite.
Angalia Msaada wa
Nokia uk. 38.