Teknolojia isiyotumia waya ya
Bluetooth
Teknolojia ya Bluetooth ukuruhusu
kuunganisha simu yako kwa kutumia
mawimbi ya redio na kifaa cha Bluetooth
kinachoendana kati ya mita 10 (futi 32).
Kifaa hiki kinatimiza Kanuni ya ubora ya
Bluetooth 2.0 + EDR inayosaidia mifumo
ifuatayo: 2.0 + EDRufikiaji uasili, ufikiaji
mtandao, mabadiliko ya kitu cha uasili,
ugawaji sauti ya juu, udhibiti video sauti
ya mbali, kifaa kisichotumia mikono, kifaa
cha kichwa, kubonyeza kitu, kuhamisha
faili, muunganiko wa mtandao, huduma
ya programu-tumizi ya utambuaji, ufikiaji
SIM na mfuatano wa poti.. Ili kuhakikisha
kuna uwezekano wa matumizi
yasiyopingana kati ya vifaa vingine
Ifanye iwe simu yako 15
vinavyosaidia teknolojia ya Bluetooth,
tumia vifaa vya nyongeza
vilivyoidhinishwa na Nokia kwa ajili ya
modeli hii. Uliza kwa watengenezaji wa
vifaa vingine ili kubaini uendanaji wake
na kifaa hiki.
Vitendaji vinavyotumia Bluetooth
huongeza matumizi ya nguvu ya betri na
hupunguza maisha ya betri.
Weka unganisho la Bluetooth
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uunganikaji
>
Bluetooth
na uchukue
hatua zifwatazo:
1 Chagua
Jina la simu yangu
na
uingize jina ya simu yako.
2 Ili kuamilisha unganisho la Bluetooth
chagua
Bluetooth
>
Washa
.
huashiria kwamba Bluetooth
inatumika.
3 Ili kuunganisha simu yako na
kiboresha sauti, chagua
Ung'sha kff
u'kivui.
na kifaa unachotaka
kuunganisha.
4 Ili kuunganisha simu yako na kifaa
chochote cha Bluetooth kilicho
karibu, chagua
Vifaa vilivyou.
kijozi
>
Ongeza kifaa kipya
.
Tembeza kwa kifaa kilichopatikana,
na uchague
Ongeza
.
Ingiza nywila (hadi herufi 16) kwenye
simu yako na uruhusu unganisho
kwenye kifaa kile kingine cha
Bluetooth.
Ikiwa una wasiwasi kuhusu usalama,
zima kitendaji cha Bluetooth, au weka
Uonek'aji simu yangu
kwa
Ifichwe
.
Kubali mawasiliano ya Bluetooth kutoka
kwa wale unaoamini tu.
Kuunganisha kompyuta kwa wavuti
Tumia teknolojia ya Bluetooth
kuunganisha kompyuta yako
inayoendana kwa wavuti bila programu
ya PC Suite. Simu yako lazima iwe
imeamilisha mtoa huduma ambaye
anakubali ufikiaji wavuti, na kompyuta
yako lazima ikubali mtandao wa
Bluetooth wa eneo la kibinafsi (PAN).
Baada ya kuunganisha huduma ya
sehemu ya kufikia mtandao (NAP) ya simu
na kuunganisha na kompyuta yako, simu
yako hufungua yenyewe unganisho la
paketi ya data kwa wavuti.