Nokia 6600 slide - Unganisha kifaa cha USB 

background image

Unganisha kifaa cha USB

Unaweza kuunganisha kihifadhi cha USB

( kwa mfano, kijiti kumbukumbu) kwa

kifaa chako na uvinjari kwenye mfumo wa

faili na uhawili mafaili.
1 Unganisha kebo ya adapta

inayoendana kwa poti ya USB ya kifaa

chako.

2 Unganisha kihifadhi cha USB kwa

kebo ya adapta.

3 Chagua

Menyu

>

Matunzio

na kifaa

cha USB ili uvinjari.

Zingatia: Sio vihifadhi vyote vya USB

vinavyokubaliwa, kwa kutegemea

utumiaji wa nishati.