Uoanishaji na nakala za kumbukumbu
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Oan. na
uwe. ku.
na kutoka kwa zifwatazo:
Swichi ya simu — Oanisha au nakili data
iliyochaguliwa kati ya simu yako na simu
nyingine kwa kutumia teknolojia ya
Bluetooth.
Unda kumbuku. — Unda nakala ya
kumbukumbu ya data iliyochaguliwa kwa
kadi ya kumbukumbu au kwa kifaa cha
nje.
Rudisha kumbu. — Chagua faili ya
nakala ya kumbukumbu iliyohifadhiwa
kwa kadi ya kumbukumbu au kwa kifaa
cha nje na uirudishe kwa simu. Chagua
Chaguzi
>
Maelezo zaidi
kwa habari
kuhusu faili ya nakala ya kumbukumbu
iliyochaguliwa.
Uhamishaji data — Oanisha au nakili
data iliyochaguliwa kati ya simu yako na
kifaa kingine, kompyuta, au seva ya
mtandao (huduma ya mtandao).