Huduma ya mpangilio wa usanidi
Ili kutumia baadhi ya huduma za
mtandao, kama vile huduma za tovuti
rununu, huduma ya utumaji ujume wa
medianuwai (MMS), ujumbe usikikao wa
Nokia Xpress, au uoanishaji rimoti seva ya
tovuti, simu yako inahitaji vipimo sahihi
vya usanidi. Kwa habari zaidi juu ya
Msaada na visasisho vya programu ya simu 39
upatikanaji, wasiliana na mtoa huduma
wako au muuzaji aliyeidhinishwa wa
Nokia aliye karibu na wewe, au tembelea
eneo la msaada kwenye tovuti ya Nokia.
Angalia Msaada wa Nokia uk. 38.
Unapopokea mipangilio kama ujumbe wa
usanidi na mipangilio haijahifadhiwa
kiotomati na kuamilishwa,
Mpangilio wa
upangiaji
huonyeshwa.
Kuhifadhi mipangilio, chagua
Onesha
>
Hifadhi
. Ikihitajika, ingiza msimbo wa
PIN iliyotolewa na mtoa huduma wako.