Nokia 6600 slide - Msaada wa Nokia

background image

Msaada wa Nokia

Angalia www.nokia.com/support au

tovuti ya Nokia ya eneo lako ili upate toleo

la hivi karibuni la kiongozi hiki, maelezo

zaidi, za kupakua, na huduma

zinazohusiana na kifaa chako cha Nokia.
Huduma za mipangilio ya kusanidi

Pakua mipangilio ya bure ya usanidi kama

vile MMS, GPRS, baru pepe na huduma

zingine za simu yako ya rununu kwa

www.nokia.com/support.
Nokia PC Suite

Unaweza ukapata PC Suite na habari

zinazohusiana kwenye tovuti ya Nokia

kwa www.nokia.com/support.

Huduma za Utunzaji wa Nokia

Ikiwa unahitaji kuwasiliana na huduma za

Nokia Care, kagua orodha ya vituo vya

Nokia Care vya mahali ulipo kwenye

www.nokia.com/customerservice.
Utunzaji

Kwa huduma za ukarabati, angalia kituo

cha huduma cha Nokia kilicho karibu na

wewe www.nokia.com/repair.