Nokia 6600 slide - My Nokia

background image

My Nokia

Pokea vidokezo vya bure, mbinu, na

msaada wa simu yako ya Nokia, pamoja

na vitu vya bure vya kujaribu, maonyesho

ya kuingiliana, gombo wavu

iliobinafsishwa, na habari kuhusu bidhaa

na huduma mpya za Nokia
Pata mengi kutoka kwa simu yako ya

Nokia na ujiandikishe kwa My Nokia leo!

Kwa habari zaidi na upatikanaji katika

eneo lako, angalia www.nokia.com/

mynokia.