Nokia 6600 slide - Nakili yaliyomo

background image

Nakili yaliyomo

Unaweza kunakili vitu vipya (kwa mfano,

mada) kuingia kwenye simu (huduma ya

mtandao).
Muhimu: Tumia huduma zile tu ambazo

unaziamini na ambazo hutoa usalama na

ulinzi wa kutosha dhidi ya maunzi laini

yenye madhara.
Kwa upatikanaji wa huduma mbalimbali

na bei, wasiliana na mtoa huduma wako.