
Programu ya kifaa usasisha angani
Mtoa huduma wako anaweza kutuma
programu mpya za simu moja kwa moja
kupitia angani kwa simu yako (huduma ya
mtandao). Chaguo hili laweza kukosa
kutegemeana na simu yako.
Kupakua visasishaji vya programu
kunaweza kuhusisha upitishaji wa
viwango vikubwa vya data kupitia
mtandao wa mtoa huduma wako.
Wasiliana na mtoa huduma wako kupata
taarifa kuhusu gharama za upelekaji data
Hakikisha kwamba betri ya kifaa ina
nishati ya kutosha, au unganisha chaja
kabla ya kuanza kusasisha.
Tahadhari:
Ukiingiza kisasishaji cha maunzi laini,
huwezi kutumia kifaa hicho, hata kupiga
simu za dharura, mpaka usasishaji
ukamilike na kifaa kiwashwe upya.
Kumbuka kuweka akiba ya data kabla ya
kukubali kuingiza kisasishaji.
Mipangilio ya usasishaji programu
Chaguo hili laweza kukosa kutegemeana
na simu yako.
Kukubali au kukataa programu na sanifu
mpya, chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Upangiaji
>
Mipa. kidhibiti vifaa
>
Vipya v. maunzi laini
.
Omba kisasishaji cha maunzi laini
1 Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Simu
>
Vitu vipya vya simu
kuomba
programu mpya zinazopatikana
kutoka kwa mtoa huduma wako.
2 Chagua
Maele. m. laini y'yopo
kuonyesha toleo la programu iliyoko
na kukagua kama programu mpya
inahitajika.
3 Chagua
Nakili ma. laini simu
kupakua na kuweka programu mpya.
Fuata maelezo yaliye kwa kioo.
4 Kama uwekezaji ulifutwa baada ya
upakuaji, chagua
Ing. vipya maun.
laini
kuanza uwekezaji.
Kupakua programu mpya kunaweza
kuchukua dakika kadhaa. Κama kuna
shida na uwekezaji, wasiliana na mtoa
huduma wako.