Huduma ya Nokia.
Angalia Msaada wa
Nokia uk. 38.
Kama swali bado halijatatuliwa, wasiliana
na eneo la Huduma la Nokia la eneo lako
kwa chaguzi za ukarabati. Kabla ya
kutuma simu yako ili irekebishwe, daima
weka nakala ya kumbukumbu ya rekodi ya
data kwenye simu yako.