Nokia 6600 slide - Vidokezo vya kusaidia

background image

Huduma ya Nokia.

Angalia Msaada wa

Nokia uk. 38.

Kama swali bado halijatatuliwa, wasiliana

na eneo la Huduma la Nokia la eneo lako

kwa chaguzi za ukarabati. Kabla ya

kutuma simu yako ili irekebishwe, daima

weka nakala ya kumbukumbu ya rekodi ya

data kwenye simu yako.