Visasishaji vya programu
Nokia inaweza kutoka visasishaji vya
programu ambavyo vinaweza kutoa
vitendaji vipya, vitendaji
38 Msaada na visasisho vya programu ya simu
vilivyoboreshwa, au utendakazi
uliyoboreshwa. Unaweza pia kuomba
visasishaji hivi kupitia programu-tumizi
ya Nokia Sofware Updater PC. Kusasisha
programu ya kifaa, unahitaji programu-
tumizi ya Nokia Software Updater na
kompyuta inayoendana na mfumo wa
utendaji kazi wa Microsoft Windows 2000,
XP au Vista, ufiakiaji tovuti kwa bendi
pana, na kebo ya data inayoendana ya
kuunganisha kifaa chako kwa kompyuta.
Ili kupata taarifa zaidi na kupakua
programu-tumizi ya Nokia ya Kusasisha
Programu, tembelea www.nokia.com/
softwareupdate au tovuti ya Nokia ya
mahali ulipo.
Ikiwa visasishaji vya programu angani
vinakubaliwa na mtandao wako, pia
unaweza kuomba visasishaji kupitia
kifaa.
Angalia Programu ya kifaa usasisha
angani uk. 39.
Muhimu: Tumia huduma zile tu ambazo
unaziamini na ambazo hutoa usalama na
ulinzi wa kutosha dhidi ya maunzi laini
yenye madhara.