Nokia 6600 slide - Mwongozo wa jinsi ya kutambua betri za Nokia.

background image

Mwongozo wa jinsi ya kutambua betri za Nokia.
Daima tumia betri halisi za Nokia kwa usalama wako.

Kukagua kwamba unapata Betri halisi ya Nokia, inunue

kutoka kwa kituo cha huduma au muuzaji wa Nokia

aliyeidhinishwa, na ukague lebo ya hologramu ukitumia

hatua zifwatazo:

Kukamilisha hatua hizo sio uhakikisho kamili wa uasili wa

betri. Iwapo una sababu yoyote ya kukufanya uamini

kwamba betri yako si ya Nokia asilia, usiitumie na uipeleke

kwenye kituo cha matengenezo au kwa mwuzaji

aliyeidhinishwa na Nokia ili upate msaada. Kama uhalisi

hauwezi kuthibitishwa, irudishe betri mahali ulipoinunua.