
Hologramu ya kuthibitisha
1
Wakati ukiangalia hologramu kwenye lebo, lazima
uone alama ya mikono iliyoungana kutoka kwenye
pembe moja na nembo ya Nokia ya Uhalisi ya Vifaa vya
Nyongeza unapoangalia kutokea pembe nyingine.
2
Wakati ukilaza hologramu upande wa kushoto, kulia,
chini na juu, lazima uone vinukta 1, 2, 3 na 4 kila upande
kwa mfuatano huo.