Nokia 6600 slide - Hologramu ya kuthibitisha

background image

Hologramu ya kuthibitisha

1

Wakati ukiangalia hologramu kwenye lebo, lazima

uone alama ya mikono iliyoungana kutoka kwenye

pembe moja na nembo ya Nokia ya Uhalisi ya Vifaa vya

Nyongeza unapoangalia kutokea pembe nyingine.

2

Wakati ukilaza hologramu upande wa kushoto, kulia,

chini na juu, lazima uone vinukta 1, 2, 3 na 4 kila upande

kwa mfuatano huo.