Nokia 6600 slide - Itakuwaje kama betri yako si halisi?

background image

Itakuwaje kama betri yako si halisi?
Kama huwezi kuthibitisha kwamba betri yako ya Nokia yenye

hologramu kwenye lebo si betri halisi ya Nokia, tafadhali

usitumie betri hiyo. Ipeleke kwenye kituo kilicho karibu cha

mtoa huduma za Nokia aliyeidhinishwa au muuzaji kwa

msaada. Matumizi ya betri ambayo haijaidhinishwa na Nokia

yanaweza kuwa hatari na yanaweza kusababisha utendaji

mbaya na uharibifu kwenye kifaa chako na vifaa vyake vya

nyongeza. Inaweza pia kubatilisha uthibitisho au dhamana

inayohusiana na kifaa.

Kufahamu zaidi kuhusu betri halisi za Nokia, angalia

www.nokia.com/battery.