
Kadi za biashara
Unaweza kutuma na kupokea maelezo ya
kuwasiliana na mtu kutoka kwa kifaa
kinachoendana ambacho kinakubali
kiwango cha vKadi.
Kutuma kadi ya biashara, tafuta jina, na
uchague
Maelezo
>
Chaguzi
>
Tuma
kadi biashara
.
Panga 35

Unapopokea kadi ya biashara, chagua
Onesha
>
Hifadhi
ili kuhifadhi kadi ya
biashara kwenye kumbukumbu ya simu.