Kalenda
Chagua
Menyu
>
Kipanga kazi
>
Kalenda
.
Siku ya sasa imewekwa kwa fremu. Ikiwa
kuna viujumbe vingine vilivyowekwa kwa
siku hiyo, siku iko katika aina ya koza.
Kuangalia viujumbe vya siku hiyo, chagua
Angalia
. Kuangalia wiki, chagua
Chaguzi
>
Angalia wiki
. Kufuta
viujumbe vyote kwenye kalenda, chagua
Chaguzi
>
Futa viujumbe
>
Viujumbe
vyote
.
Kuhariri mipangilio inayohusiana na
tarehe na saa, chagua
Chaguzi
>
Mipangilio
na kutoka kwa chaguzi
zinazopatikana. Kufuta viujumbe vya
zamani kiotomati baada ya muda
ulioainishwa, chagua
Chaguzi
>
Mipangilio
>
Viuj'e vijifute vye'we
na
kutoka kwa chaguzi zinazopatikana.
Kutengeneza kiujumbe cha kalenda
Tembeza kwa tarehe, na uchague
Chaguzi
>
Andika maoni
. Chagua aina
ya kiujumbe, na ujaze kwenye nafasi.