Nokia 6600 slide - Kikokotoo

background image

Kikokotoo

Simu yako hutoa kikokotoo cha kawaida,

cha kisayansi na cha mkopo.
Chagua

Menyu

>

Kipanga kazi

>

Kikokotoo

na, kutoka kwa chaguzi

zinazopatikana, aina ya kikokotoo na

maagizo ya kukitumia.
Kikokotoo hiki kina kikomo kidogo cha

usahihi na kimesanifiwa kwa ajili ya

hesabu nyepesi.