Kipima saa
Kipima saa cha kawaida
1 Kuwasha kipima saa, chagua
Menyu
>
Kipanga kazi
>
Kipima
saa
>
Kipi'asaa/kawaida
, andika
saa, na uandike maandishi yale
yataonyeshwa muda ukiisha. Kubadili
saa, chagua
Badili muda
.
2 Ili kuanzisha kipima saa, chagua
Anza
.
3 Ili kusimamisha kipima saa, chagua
Zima kipima saa
.
Kipima muda wa kati
1 Kuwa na kipima kipindi kiliye na
mpaka vipindi 10 vilivyo anzwa,
kwanza andika vipindi hizo.
2 Chagua
Menyu
>
Kipanga kazi
>
Kipima saa
>
kipima kipindi
.
3 Kuanza kipima saa, chagua
Anzisha
kipimasaa
>
Anza
.
Kuchagua vile kipima kipindi kinatakiwa
kianze muda ufuatao, chagua
Menyu
>
Kipanga kazi
>
Kipima saa
>
Mipangilio
>
Endelea kip. kin'fuata
na
kutoka chaguo zilioko.