
Nokia PC Suite
Na Nokia PC Suite unaweza kupanga
muziki wako, kuoanisha majina, kalenda,
maandiko, maandiko ya shughuli za
kufanya kati ya simu yako na PC
inayopatana au seva ya mtandao ya mbali
(huduma ya mtandao). Unaweza kupata
habari zaidi na PC Suite kwa tovuti ya
Nokia.
Angalia Msaada wa
Nokia uk. 38.