Nokia 6600 slide - Orodha ya vya kufanya

background image

Orodha ya vya kufanya

Kuunda matini ya kazi ambayo lazima

ufanye, chagua

Menyu

>

Kipanga

kazi

>

Oro. vya kufanya

.

Kuunda matini kama hakuna matini

iliyoongezwa, chagua

Ongeza

; la sivyo,

chagua

Chaguzi

>

Ongezea

. Jaza nafasi,

na uchague

Hifadhi

.

Kutazama maandishi, viringika kwake, na

uchague

Angalia

.