Saa ya kengele
Kutoa mlio wa kengele wakati uupendao.
Weka kengele
1 Chagua
Menyu
>
Kipanga kazi
>
Saa ya kengele
.
2 Kuweka kengele na kuweka saa ya
kengele.
3 Kuweka kengele kwa siku
zilozochaguliwa za wiki, chagua
Rudia:
>
Imewashwa
na masiku.
4 Chagua toni ya kengele.
5 Weka muda wa kusinzia, na uchague
Hifadhi
.
Simamisha kengele
Kusimamisha kengele inayolia, chagua
Katisha
. Ukiruhusu kengele ilie kwa
dakika au chagua
Sinzia
, kengele
husimama kwa muda wa kusinzia, kisha
huendelea tena.