Nokia 6600 slide - Saa ya kupimia

background image

Saa ya kupimia

Unaweza kupima muda, kupima muda wa

kati, au muda wa mzunguko kwa kutumia

saa ya kupimia.
Chagua

Menyu

>

Kipanga kazi

>

Saa ya

kupimia

na kutoka chaguo zifuatazo:

Tenga muda — ili kupima muda baina

ya matukio. Kupangua muda bila

kuhifadhi,

Chaguzi

>

Anza upya saa

.

Kupima mzunguko — kuchugua muda

wa mzunguko

Endelea — kuangalia muda uliohifadhi

bila kuonekana.

Muda/mwisho — kutazama muda

uliohifadhiwa hivi karibuni.

Angalia muda au Futa

muda — kuangalia au kufuta muda

uliyohifadhiwa
Kutegesha upimaji uendelee kufanyika

bila kuonekana, bonyeza kitufe cha

kumaliza.

Msaada na visasisho vya

programu ya simu

Nokia husaidia kwa njia nyingi ili kupata

manufaa mengi kutoka kwa simu yako.

Vidokezo vya kusaidia

Ikiwa una maswali juu ya simu yako, au

huna uhakika jinsi simu yako inapaswa