Simamia majina
Hifadhi majina, nambari za simu, na
anwani kama majina kwenye simu na
kumbukumbu ya SIM kadi.
Chagua
Menyu
>
Majina
.
Chagua kumbukumbu ya majina
Kumbukumbu ya simu inaweza kuhifadhi
majina yaliyo na maelezo ya ziada, kama
vile nambari kadhaa za simu na vitu vya
maandishi. Pia unaweza kuhifadhi
taswira, toni au pogoa ya video kwa
nambari kadhaa za majina.
34 Panga
Kumbukumbu za kadi ya SIM yaweza
kuhifadhi majina yenye namba
mojamoja. Majina yaliyohifadhiwa
kwenye SIM kadi yameashiriwa na
.
1 Chagua
Mipangilio
>
Ku'kumbu
inatumika
ili kuchagua SIM kadi,
kumbukumbu ya simu, au zote kwa
majina yako.
2 Chagua
Simu na SIM
ili kukumbuka
majina kutoka kwa kumbukumbu
zote. Unapohifadhi majina,
uhifadhiwa kwenye kumbukumbu ya
simu.
Shughulikia majina
Kutafuta jina
Menyu
>
Majina
>
Majina
Tembeza kwa orodha ya majina, au ingiza
herufi ya kwanza ya majina'
Hifadhi jina na namba ya simu
Majina
>
Chaguzi
>
Ongeza jina jipya
Ongeza uhariri maelezo
Chagua jina,
Maelezo
>
Chaguzi
>
Ongezea maelezo
na kutoka kwa
chaguzi zinazopatikana.
Futa maelezo
Chagua jina na
Maelezo
. Chagua maelezo
na
Chaguzi
>
Futa
.
Futa jina
Futa jina na
Chaguzi
>
Futa jina
.
Futa majina yote
Menyu
>
Majina
>
Futa majina yote
>
Toka k'umbu / simu
au
Toka kwen. SIM
kadi
.
Nakili au hamisha majina kati ya simu
na kumbukumbu ya SIM kadi
Jina moja
Chagua jina la kunakili au hamisha na
Chaguzi
>
Nakili jina
au
Hamisha jina
.
Majina kadhaa
Chagua
Chaguzi
>
Wekea alama
.
Weka alama majina, na uchague
Chaguzi
>
Nakili yenye alama
au
Hamisha zeny. alama
.
Majina yote
Chagua
Menyu
>
Majina
>
Nakili
majina
au
Hamisha majina
.
Unda kikundi binafsi
Panga majina kwa vikundi vya mpigaji na
toni tofauti za mwito na taswira za
kikundi.
1 Chagua
Menyu
>
Majina
>
Vikundi
.
2 Chagua
Ongeza
au
Chaguzi
>
Ongeza kundi jipya
ili kuunda
kikundi kipya.
3 Ingiza jina la kikundi, kwa hiari
chagua taswira na toni ya kulia, na
uchague
Hifadhi
.
4 Chagua kikundi na
Angalia
>
Ongeza
ili kuongeza majina kwa
kikundi.