Nokia 6600 slide - Tarehe na saa

background image

Tarehe na saa

Kubadili aina ya saa, saa, zoni ya saa au

tarehe, chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Tarehe na muda

.

Ukisafari kwa zoni ya saa tofauti, chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Tarehe na

muda

>

Mipa. tarehe & muda

>

Zoni ya

muda:

, na viringika kushoto au kulia

kuchagua zoni ya saa ya mahali ulipo. Saa

na tarehe zinawekwa kutegemeana na

zoni ya saa na inawezesha simu yako

kuonyesha saa sahihi ya kutumwa kwa

ujumbe uliopokewa au ujumbe wa

mawasiliano anuwai.
Kwa mfano, GMT-5 inamaanisha zoni ya

New York (USA), masaa 5 magharibi ya

Greenwich, London (UK).