Nokia 6600 slide - Viujumbe

background image

Viujumbe

Kuandika na kutuma maandishi, chagua

Menyu

>

Kipanga kazi

>

Viujumbe

.

Kuweka kumbukumbu iwapo hakuna

kiujumbe kilichoongezwa, chagua

36 Panga

background image

Ongeza

; vinginevyo, chagua

Chaguzi

>

Unda kiujumbe

. Andika kiujumbe, na

uchague

Hifadhi

.