Ramani
Unaweza kuvinjari ramani za miji na nchi
tofauti, kutafuta anwani na maeneo
unayopenda, kupanga njia kutoka eneo
moja hadi nyingine, hifadhi maeneo kama
minara, na kuzituma kwa vifaa
vinavyoendana.
Karibu usanifu ramani wa katografia ya
dijito wote huwa si sahihi sana na
haujakamilika kwa kiasi fulani. Kamwe
usitegemee tu katografia unayopakua
kwa ajili ya matumizi kwenye kifaa hiki.
Kutumia programu-tumizi ya ramani,
chagua
Menyu
>
Ramani
na kutoka kwa
chaguzi zinazopatikana.
Kwa habari za kina kuhusu Ramani,
angalia maps.nokia.com.