
Pakua ramani
Simu yako inawezakuwa na ramani
zilizosakinishwa kwenye kadi ya
kumbukumbu. Unaweza kupakua seti
mpya ya ramani kupitia wavuti kwa
kutumia programu ya kompyuta ya
Kupakia Ramani ya Nokia.
Kipakia Ramani ya Nokia
Kupakua Kipakia Ramani ya Nokia kwenye
kompyuta yako na kwa maagizo zaidi,
angalia www.maps.nokia.com.
Kabla ya kupakua ramani mpya kwa mara
ya kwanza, hakikisha kwamba una kadi ya
kumbukumbu ilioingizwa kwenye simu.
Chagua
Menyu
>
Ramani
ili kufanya
usanidi wa kwanza.
Kubadilisha uchaguzi wa ramani kwenye
kadi yako ya kumbukumbu, tumia Kipakia
Ramani ya Nokia ili kufuta ramani zote
kwenye kadi ya kumbukumbu na upakie
uchaguzi mpya, ili kuhakikisha kwamba
ramani zote zimetoka kwa toleo moja.
Huduma ya ramani ya mtandao
Unaweza kuweka simu yako kupakia
ramani kiotomati ambayo huna katika
simu yako wakati unahitaji.
Chagua
Menyu
>
Ramani
>
Mipangilio
>
Mipangil. ya mtandao
>
Ruhu. utum. mtandao
>
Ndiyo
au
K.
mtand'o nyumbani
.
Kuzuia upakuaji ramani kiotomati,
chagua
Hapana
.
Kupakua ramani kunaweza kuhusisha
upitishaji wa viwango vikubwa vya data
kupitia mtandao wa mtoa huduma wako.
Wasiliana na mtoa huduma wako kupata
taarifa kuhusu gharama za upelekaji data