Nokia 6600 slide - Chaguza za kamera na video

background image

Chaguza za kamera na video

Katika modi ya kamera au video, chagua

Chaguzi

na kutoka kwa ifuatayo:

Vikolezo — Tumia athari tofauti (kwa

mfano,kijivu na rangi ya uongo) ili kunasa

taswira.

Uling'nishaji uweupe — Weka kamera

kwa hali ya sasa ya mwangaza.
Mipangilio — Badilisha mipangilio ya

kamera na video, na uchague taswira na

hifadhi ya video.