Nokia 6600 slide - Galari

background image

Galari

Shughulikia taswira, pogoa za video,

mafaili ya muziki, mandhari, michoro,

toni, rekodi, na mafaili yaliyopokewa.

Mafaili haya uhifadhiwa kwenye

kumbukumbu ya simu au kwenye kadi ya

kumbukumbu iliyoambatanishwa na

inaweza kupangwa kwa mafolda.
Simu yako inaendana na mfumo wa

funguo za uamilishaji ili kulinda vitu

vilivyopatikana. Daima kagua masharti

yanayoendana na upokeaji wa habari yo

yote na kitufe cha uamilishaji kabla

hujavipokea, kwa sababu vinaweza kuwa

vinatakiwa kulipiwa ada.