Folda na mafaili
Kuangalia orodha ya mafolda, chagua
Menyu
>
Matunzio
.
Kuangalia orodha ya mafaili kwenye
folda, chagua folda na
Fungua
.
Kuangalia mafolda ya kadi ya
kumbukumbu unapokuwa ukihamisha
faili, tembeza kwa kadi ya kumbukumbu,
na ubonyeze kulia kitufe cha kutembeza.