Nokia 6600 slide - Folda na mafaili

background image

Folda na mafaili

Kuangalia orodha ya mafolda, chagua

Menyu

>

Matunzio

.

Kuangalia orodha ya mafaili kwenye

folda, chagua folda na

Fungua

.

Kuangalia mafolda ya kadi ya

kumbukumbu unapokuwa ukihamisha

faili, tembeza kwa kadi ya kumbukumbu,

na ubonyeze kulia kitufe cha kutembeza.