
Kadi ya kumbukumbu
Unaweza kutumia kadi ya kumbukumbu
kuhifadhi mafaili yako ya medianuwai
kama vile vipande vya video, traki za
26 Taswira na video

muziki, na mafaili ya muziki, picha, na
data ya utumaji ujumbe.
Baadhi ya mafolda kwenye
Matunzio
na
habari ambayo kifaa hiki hutumia (kwa
mfano,
Mada
) yanaweza kuhifadhiwa
kwenye kadi ya kumbukumbu.
Fomati kadi ya kumbukumbu
Baadhi ya kadi za kumbukumbu huletwa
zikiwa zimefomatiwa na nyingine
huhitaji kufomatiwa. Wakati kadi ya
kumbukumbu ikifomatiwa, data yote
kwenye kadi hupotea moja kwa moja.
1 Ili kufomati kadi ya kumbukumbu,
chagua
Menyu
>
Matunzio
au
Programu
, folda ya kadi ya
kumbukumbu
, na
Chaguzi
>
Fomati kadi ku'mbu
>
Ndiyo
.
2 Wakati kufomati kukikamilika, ingiza
jina kwa ajili ya kadi ya kumbukumbu.
Funga kadi ya kumbukumbu
Kuweka nywila (herufi 8) ili kufunga kadi
yako ya kumbukumbu dhidi ya matumizi
yasioruhusiwa, chagua folda ya kadi ya
kumbukumbu
na
Chaguzi
>
Weka
nenosiri
.
Nenosiri hilo huhifadhiwa kwenye simu
yako na huhitaji kuliingiza tena wakati
unatumia kadi hiyo ya kumbukumbu
kwenye simu hiyohiyo. Kama ukitaka
kutumia kadi hiyo ya kumbukumbu
kwenye simu nyingine, utaulizwa
nenosiri.
Kufuta ombi, chagua
Chaguzi
>
Futa
nenosiri
.
Angalia matumizi ya kumbukumbu
Kuangalia utumiwaji wa kumbukumbu ya
vikundi tofauti vya data na kumbukumbu
inayopatikana ili kusakinisha programu
mpya kwenye kadi yako ya kumbukumbu,
chagua kadi ya kumbukumbu
na
Chaguzi
>
Maelezo zaidi
.