Shiriki taswira na video mkondoni
Shiriki taswira na pogoa ya video katika
huduma ya mkondoni inayoendana
kwenye mtandao.
Kutumia kushiriki mkondoni, lazima
ujiandikishe kwa huduma ya kushiriki
mkondoni.
Kupakia taswira au pogoa ya video kwa
huduma ya kushiriki mkondoni, chagua
faili kutoka kwa Galari na
Chaguzi
>
Tuma
>
Pakia kwa wavu.
.
Kwa habari zaidi juu ya kushiriki
mkondoni na watoa huduma
wanaoendana, angalia gombo za usaidizi
za bidhaa za Nokia au tovuti ya Nokia ya
eneo lako.
Taswira na video 27
Unataka kupumzika kidogo
mwisho wa siku? Kwa
urahisi hawilisha muziki
wako uupendao na mafaili
ya MP3 kwa kicheza muziki
cha simu yako.