Nokia 6600 slide - Nasa taswira

background image

Nasa taswira
Amilisha kamera tuli

Chagua

Menyu

>

Media

>

Kamera

; au,

kama kitendaji cha video kimewashwa,

tembeza kushoto au kulia.
Ututuzaji

Katika modi ya kamera, tembeza juu na

chini.

Taswira na video 25

background image

Nasa taswira

Chagua

Nasa

. Simu uhifadhi taswira

kwenye kadi ya kumbukumbu, kama

inapatikana, au kwenye kumbukumbu ya

simu.

Chagua

Chaguzi

>

Flashi

>

Kuwasha

flashi

ili kunasa taswira zote na flashi ya

kamera, au

Ijichagulie

ili kuamilisha

flashi kiotomati wakati hali ya taa

imefifia.
Weka umbali wa kutosha kiusalama

wakati unapotumia flashi. Usitumie flashi

kwa watu au wanyama ukiwa karibu sana

nao. Usifunike flashi wakati wa kupiga

picha.
Ili kuonyesha taswira mara moja baada ya

kuichukua, chagua

Chaguzi

>

Mipangilio

>

Muda w. kuona picha

na

muda wa kuhakiki. Wakati wa muda wa

kuhakiki, chagua

Rudi

kunasa taswira

nyingine, au

Tuma

kutuma taswira kama

ujumbe wa medianuwai.
Kifaa chako kinaruhusu unasaji wa picha

yenye mzunguko 2048x1536 pixels.