Rekodi pogoa ya video
Amilisha kitendaji cha video
Chagua
Menyu
>
Media
>
Video
, au,
kama kitendaji cha simu kimewashwa,
tembeza kushoto au kulia.
Kurekodi video
Kuanza kurekodi, chagua
Rekodi
;
kusitisha kurekodi, chagua
Subiri
;
kuendelea kurekodi, chagua
Endelea
;
kuacha kurekodi, chagua
Katisha
.
Simu uhifadhi pogozi za video kwenye
kadi ya kumbukumbu, kama inapatikana,
au kwenye kumbukumbu ya simu.