
Utupaji
Alama ya pipa iliyo na mkato kwenye bidhaa, maandishi, au
kifurushi chako hukukumbusha kwamba bidhaa zote za
elektroniki, betri, na vilikimbizi umeme lazima zipelekwe
kwenye mkusanyiko tofauti wakati bidhaa inapokwisha .
Hitaji hili linatumika kwa Umoja wa Uropa na maeneo
mengine ambapo mifumo ya kando ya ukusanyaji
inapatikana. Usitupe bidhaa hizi kama takataka
zisizochambuliwa za manispaa.
Kwa kurudisha bidhaa zikusanywe unasaidia kuzuia utupaji
taka usiodhibitiwa na kusaidia utumiaji tena wa rasilimali za
nyenzo. Habari zaidi zinapatikana kutoka kwa muuzaji,
manispaa, mashirika ya kitaifa yanayohusu uwajibikaji wa
watengenezaji au kutoka kwa mwakilishi wako wa Nokia. Ili
kupata Tangazo la Mazingira au maagizo ya kurudisha bidhaa
iliyoisha, enda kwa habari mahususi ya nchi kwa
www.nokia.com.