Nokia 6600 slide - Modi za maandishi

background image

Modi za maandishi

Kuingiza maandishi, (kwa mfano, wakati

ukiandika ujumbe) unaweza kutumia njia

ya kawaida ya uingizaji maandishi au

uingizaji maandishi yaliyopo tayari
Unapoandika maandishi, bonyeza na

ushikilie

Chaguzi

kubadilisha kati ya

uingizaji maandishi ya kawaida,

inayoashiriwa na

, na uingizaji

maandishi ya kubashiri, inayoashirikiwa

na

. Siyo lugha zote zinazokubaliwa

na uingizaji maandishi ya kutabirika.
Herufi kubwa na ndogo huonyeshwa kwa

, , na

.

Kubadilisha herufi, bonyeza #.

Kubadilisha kutoka kwa modi ya herufi

hadi ya nambari, inayoashiriwa na

,

bonyeza na ushikilie #, na uchague

Modi

ya namba

. Kubadilisha kutoka kwa modi

ya nambari hadi ya herufi, bonyeza na

ushikilie #.
Kuweka lugha ya kuandika, chagua

Chaguzi

>

Lugha/kuandika

.