Nokia 6600 slide - Uingizaji maandishi ya kawaida

background image

Uingizaji maandishi ya kawaida

Bonyeza kitufe cha namba, 2 -9,mfululizo

mpaka herufi inayotakiwa itokee. Herufi

zinazopatikana zinategemea lugha

iliochaguliwa.
Kama herufi inayofuata iko kwenye kitufe

hicho hicho kinachotumika, subiri mpaka

kasa itokee, au na uingize herufi hiyo.
Kufikia vituo vya uandishi vinavyojulikana

sana na herufi maalum, bonyeza 1 kwa

Wasiliana 21

background image

kurudia. Kufikia orodha ya herufi maalum,

bonyeza *.