
Uingizaji maandishi ya kutabiri
Utabiri wa maandiko unategemea kamusi
iliyoko ambayo unaweza pia kuongeza
maneno mapya.
1 Anza kuandika neno, kwa kutumia
vitufe 2 au 9. Bonyeza kila kitufe mara
moja tu kwa herufi.
2 Kuthibitisha neno viringika kulia au
ongeza nafasi.
•
Kama neno si sahihi, bonyeza *
kwa marudio, na chagua neno
kutoka kwa orodha.
•
Kama herufi ya ? inaonyeshwa
baada ya neno, neno uliotaka
kuandika haliko kwenye kamusi.
Kuongeza neno hilo kwa kamusi,
chagua
Tahajia
. Andika neno
kwa kutumia uchapishaji wa
kawaida, na uchague
Hifadhi
.
•
Kuandika maneno ya
kulinganishwa, andika upande
wa kwanza wa neno, na vingirika
kulia kuithibitisha. Andika
upande wa mwisho wa neno, na
thibitisha neno hilo.
3 Anza kuandika neno linalofuata.