Barua-pepe
Fikia akaunti yako ya barua pepe ya POP3
au IMAP4 na simu yako ili usome,
kuandika, na kutuma barua pepe.
Programu-tumizi hii ya barua-pepe ni
tofauti na huduma za SMS, na barua-pepe.
Kabla uweze kutumia barua pepe, lazima
uwe na akaunti ya barua pepe na
mipangilio sahihi. Kwa upatikanaji na
mipangilio sahihi, wasiliana na mtoa
huduma wako wa barua pepe. Waweza
kupokea vipimo vya kusanidi barua-pepe
Wasiliana 23
kama ujumbe wa usanidi.
Angalia
Huduma ya mpangilio wa
usanidi uk. 39.