Nokia 6600 slide - Arifu mpya za barua-pepe

background image

Arifu mpya za barua-pepe

Kifaa chako kinaweza chenyewe

kuangalia akaunti yako ya barua-pepe

kwa muda wa masaa na kutoa arifu kama

akaunti yako ya barua-pepe imepata

barua mpya.
1 Chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Mipa. ya ujumbe

>

Ujum. wa barua

pepe

>

Hariri makas. ujumbe

.

2 Chagua akaunti yako ya barua-pepe,

Mipangilio y. kunakili

na chaguzo

zifuatayo:
Muda k'sisha k. kup'a — kuweka

mara ngapi ambapo kifaa chako kina

angalia akaunti yako ya barua-pepe

kwa barua mpya

Kuchukua yenyewe — kupokea

barua-pepe mpya kutoka wa akaunti

yako ya barua-pepe kwa kujiendesha.

3 Kuwezesha arifu mpya ya barua-pepe,

chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Mipa. ya ujumbe

>

Ujum. wa barua

pepe

>

Ujuli. barua-e mpya

>

Washa