Nokia 6600 slide - Soma na jibu barua pepe

background image

Soma na jibu barua pepe

Muhimu: Kuwa mwangalifu wakati wa

kufungua ujumbe. Ujumbe unaweza

kuwa na maunzi laini mabaya au yenye

kudhuru kifaa au kompyuta yako..
1 Kupakua vichwa vya ujumbe wa

barua pepe, chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

na akaunti yako ya

barua pepe.

2 Kupakua barua pepe na

viambatanisho vyake, chagua barua

pepe na

Fungua

au

Chukua

.

3 Kujibu au kupeleka mbele barua pepe,

chagua

Chaguzi

na kutoka kwa

chaguzi zinazopatikana.

4 Kutenganisha kutoka kwa akaunti

yako ya barua pepe, chagua

Chaguzi

>

Kata unganisho

.

Unganisho la akaunti ya barua pepe

hukatika kiotomati baada ya muda

fulani bila shughuli.