Mipangilio ya ujumbe
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Mipa. ya ujumbe
na kutoka ifuatao:
Mipangilio ya ujumla — Kuhifadhi
vinakili vya ujumbe uliotuma kwa simu
yako, kuandikia juu ya ujumbe vyako vya
zamani kama kumbukumbu ya ujumbe
inajaa, na kuweka mapendeleo mengine
inayahusu ujumbe
Ujumbe w. ma'ndishi — Kuwezesha
repoti za wasilishi, kuweka vituo vya
ujumbe za SMS na SMS za barua-pepe,
kuchagua aina ya uwezo wa herufi, na
kuweka mapendeleo mengine inayahusu
ujumbe wa maandishi
Ujumbe media titika — Kuruhusu repoti
za wasilishi, kuweka uonekanaji wa
ujumbe wa mawasiliano anuwai,
kuruhusu upokeaji wa ujumbe wa
mawasiliano anuwai na matangazo, na
kuweka mapendeleo inayohusu ujumbe
wa mawasiliano anuwai
Ujum. wa barua pepe — Kuruhusu
upokeaji wa barua-pepe, kupangia
ukumbwa wa taswira kwa barua-pepe, na
kupangia mapendeleo mengine
inayohusu barua-pepe
Ujumbe wa huduma — Kuwasha taarifa
za huduma na kuweka mapendeleo
inayohusika na taarifa za huduma
Picha hiyo iko wapi? Hifadhi
picha zako za azimilio la juu
na pogozi za video katika
galari ya simu, au kuzishiriki
kupitia huduma mpya ya
kupakia taswira.