Ujumbe wa kumwika
Ujumbe wa kumwika ni ujumbe wa
maandishi unaofunguka mara tu ufikapo.
1 Kuandika ujumbe wa kumweka,
chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Unda ujumbe
>
Ujumbe wa
haraka
.
24 Wasiliana
2 Ingiza nambari ya simu ya mpokeaji,
andika ujumbe wako (usiyozidisha
herufi 70), na uchague
Tuma
.