Nokia 6600 slide - Ujumbe wa kumwika

background image

Ujumbe wa kumwika

Ujumbe wa kumwika ni ujumbe wa

maandishi unaofunguka mara tu ufikapo.
1 Kuandika ujumbe wa kumweka,

chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Unda ujumbe

>

Ujumbe wa

haraka

.

24 Wasiliana

background image

2 Ingiza nambari ya simu ya mpokeaji,

andika ujumbe wako (usiyozidisha

herufi 70), na uchague

Tuma

.